Toleo Maalum: Ripoti Ya CAG Imethibitisha Tu…

Hatimaye mkwara wa Mtu Mfupi Ndugai umeshindwa kumzuwia CAG Profesa Mussa Assad kuwasilisha ripoti yake ya ukaguzi na udhibiti wa fedha za serikali kwa mwaka wa fedha 2017/2018. Hilo dogo. Kubwa ni (a) yayumkinika kuhitimisha kuwa jitihada za Mtu Mfupi Ndugai dhidi ya Profesa Assad kwamba “Bunge halitafanya kazi na CAG” zilikuwa zinafanywa kwa rimoti na Magufuli mwenyewe kwa sababu (b) ni dhahiri kuwa utawala wake sio tu umegubikwa na ufisadi mkubwa bali pia unaweza kuingia kwenye kumbukumbu za nchi yetu kama utawala wa kifisadi zaidi kuliko yote.

Read →

Loading…