Makala Ya Wazi: Uamuzi wa Chadema Kujitoa Uc…

Kwamba uchaguzi huu wa serikali za mitaa ni uhuni wa kidemokrasia, hilo wala si jambo linalohitaji mjadala. Labda tunachoweza ku-note ni kwamba uchaguzi huu utaingia kwenye historia ya taifa letu, pengine kama ishara rasmi ya kupulizwa kipyenga cha utawala wa kidikteta.

Read →