Magufuli Akosolewa Na Swahiba Yake Mkuu Raila Kuhusu Korona Tanzania
Kuna makala ya uchambuzi wa kiintelijensia kuhusu suala la korona nchini Tanzania na mustakabali wa utawala wa Rais John Magufuli, na ninachoweza “kukuibia” msomaji ni mtazamo wangu kuwa “korona itaondoka na Magufuli” (si kwa maana ya gonjwa hilo kuchukua uhai wake -siwezi kumwombea mtu maambukizi ya ugonjwa huo hata awe adui yangu mkubwa — bali “uhai w…