Audio Ya Maongezi Kati Ya Kinana na Nape Yaliyodukuliwa Na Jiwe
www.baruayachahali.com
Natumaini hadi muda huu utakuwa umeshasikia audio ya maungezi kati ya Kinana na Nape ambayo imevijishwa makusudi. Kama hujaisikia, bonyeza hapo juu Kilichofanyika haponi kwamba simu za wawili hao zimekuwa “bugged” yaani mawasiliano yao yananaswa. Na huhitaji kuwa na akili kubwa kufahamu kuwa hii ni kazi inayomhusisha Jiwe mwenyewe. Sie wengine kwa kutumia jicho la kishushushu tunaweza pasi shaka kujua nani ataibuka mshindi katika vita hii.
Audio Ya Maongezi Kati Ya Kinana na Nape Yaliyodukuliwa Na Jiwe
Audio Ya Maongezi Kati Ya Kinana na Nape…