AUDIO: Salamu Kutoka Kwa Mtumishi Wako

Listen now (10 min) | Naomba kukufikishia salamu hizi zilizo kwenye mfumo wa sauti (audio) ambapo naeleza kwa kifupi kuhusu mabadiliko ya muundo wa #BaruaYaChahali. Kwa kifupi, #BaruaYaChahali “imezaa” vijarida vingine vinne, na kwa sasa mtumishi wako nitakutumia vijarida vitano kwa wiki. Ratiba ni kama ifuatavyo

Listen →