Mtumishi wako anahitaji msaada wako. Kama unaweza kusaidia basi wasiliana nami HAPA. Thanks in advance Ndimi mtumishi wako, Evarist Chahali
Katika 'Zoom na Zu' gumzo lilikuwa baina ya Zuhura Yunus na watoto wenye vipaji wote wakiwa jijini Dar es Salaam. Watoto hao licha ya kuwa na umri mdog…
Saratani ni maradhi yanayoweza kumkuta mtu yeyote yule. Kwahiyo mada hii ya #ZoomNaZu inamhusu kila mmoja wetu. Angalia, kisha fanya ku-like na ku-subs…
“Bure” hajafariki bali ameadimika tu. Naam, vitu vizuri vya bure bado vipo ila yahitajika bidii kukutana navyo. Bahati nzuri, mtumishi wako ninajibidii…
Ndimi mtumishi wako, Evarist Chahali
Jasusi wako ametanabaisha mara kadhaa kuwa hadhani kuwa ni salama kwa Mheshimu Tundu Lissu kurudi Tanzania muda huu. Hapana, simaanishi asitudi nyumban…
Pata nakala yako 🙏
Pata nakala yako leo Ndimi jasusi wako, Evarist Chahali