Ikikupendeza, tafadhali subscribe kwenye chaneli hii ya YouTube ya mtumishi wako, ambayo kimsingi ni yako pia.
Baada ya kupokea ushauri kutoka kwa wadau mbalimbali, nimeonelea ni vema “kuhuisha” chaneli yangu ya YouTube ambayo niliianzisha mwaka 2017 ila ni kama…
Sikuwahi kudhani kama kuna siku ningelazimika kusimulia unyama aliofanyiwa huyu mama kwa sababu deep in my heart nilimuona kuwa ni mwanasiasa mstaarabu…
Microsoft Virtual Training Days Adobe Essentials 2020: Illustrator, Photoshop, InDesign & XD Teacher Training - How to Teach Online - Remote Teaching T…
Mjumbe hauawi.
Toleo jipya la #ZoomNaZu. Kuna ishu za VPN humu.
Cyprian Musiba, mmoja wa “wapigadebe” mahiri wa Rais Magufuli, anayejiita “mwanaharakati huru,” na ambaye anawania kupata ridhaa ya CCM kuwania ubunge …
Mtumishi wako anakuketea orodha ya kozi mbalimbali ambazo zaweza kukuongezea ujuzi au hata kukubadilishia mwelekeo wa maisha 👉Security Fundamentals – …
Mtumishi wako anahitaji msaada wako. Kama unaweza kusaidia basi wasiliana nami HAPA. Thanks in advance Ndimi mtumishi wako, Evarist Chahali
Katika 'Zoom na Zu' gumzo lilikuwa baina ya Zuhura Yunus na watoto wenye vipaji wote wakiwa jijini Dar es Salaam. Watoto hao licha ya kuwa na umri mdog…
Saratani ni maradhi yanayoweza kumkuta mtu yeyote yule. Kwahiyo mada hii ya #ZoomNaZu inamhusu kila mmoja wetu. Angalia, kisha fanya ku-like na ku-subs…